Uhakiki wa TIN

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Jana ilikuwa tarehe ya mwisho ya kuhakiki TIN na wilaya niliyopo watu walikuwa wengi sana.
Je kuna mrejesho kuhusu muda kuongezwa?
Kwani nini zoezi hili lisiwe endelevu kwani katika ofisi nyingiza TRA kipindi hiki ndicho cha makadirio kwa walipa kodi hasa wafanyabiashara.
 
Kwani lilianza lini na ni wilaya ipi hiyo jaza basi nyama taarifa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…