Wanaotowa Leseni ni Traffic ila TRA wanakusanya Uhuru na kukupa ile smart card tu.Wangehusisha na daraja D ingekuwa habari kubwa sana hii.
Madereva wa serikali wanapata ajira kwa kuambatanisha na vyeti vya mafunzo ya udereva ila ndiyo watu arrogant zaidi barabarani.
Hawajui zebra crossing,hawajui traffic lights na hawajui vibao vya 50.
Polisi ndiyo wangetoa leseni za udereva badala ya TRA au uwepo mfumo ambao TRA hawawezi kutoa leseni hadi wajaze namba ya cheti cha kuhitimu mafunzo ya udereva.