Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa RITA

Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa RITA

Alex Dennie

Senior Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
112
Reaction score
44
Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA.
Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
 
angalia pembeni ya cheti chako kuna hizo namba
 
Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
Screenshot_20230714-103018.png

Kama umeshindwa na hapo sema uletewe technician akupe msaada zaidi
✍️
 
Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA.
Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
Futa hizi details zako sasa kwa vile umeshapata msaada!
 
Kwa vyeti vya karibuni (mimi nina uzoefu wangu vyeti vya 2017) entry number huwekwa juu ya cheti kabla hata jina la muombaji wa cheti halijawekwa
 
Asante Mkuu, hapo nimeelewa shukurani sana
 
Wakuu na mm Nataka kuhakiki Cheti cha kifo Rita, je entry namba ya Cheti cha kifo ni Ipi msaada wenu tafadhali
 
Mimi tayari nimehakiki lakini verification number siioni na ndio inayojazwa kwenye maombi ya mkopo 🙄
 
Mimi tayari nimehakiki lakini verification number siioni na ndio inayojazwa kwenye maombi ya mkopo [emoji849]
I mean "entry no" ndugu ile ambayo wanakutaka mwanzoni kabsa uijaze kwenye form yao ile
 
Mimi tayari nimehakiki lakini verification number siioni na ndio inayojazwa kwenye maombi ya mkopo 🙄
I mean "entry no" ndugu ile ambayo wanakutaka mwanzoni kabsa uijaze kwenye form yao ile
Asee nafahamu kuhusu cheti cha kuzaliwa inakua imeandikwa kabisa entry number na iko kabla ya majina mkuu. Kuhusu cha kifo ngoja wajuzi waje.
 
Back
Top Bottom