Alex Dennie
Senior Member
- Aug 31, 2013
- 112
- 44
angalia pembeni ya cheti chako kuna hizo nambaHabari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA.
Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
Futa hizi details zako sasa kwa vile umeshapata msaada!Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA.
Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
Asante Mkuu, hapo nimeelewa shukurani sana
Asante sana kwa kujaliFuta hizi details zako sasa kwa vile umeshapata msaada!
Asante Mkuu, hapo nimeelewa shukurani sanaKwa vyeti vya karibuni (mimi nina uzoefu wangu vyeti vya 2017) entry number huwekwa juu ya cheti kabla hata jina la muombaji wa cheti halijawekwa
Ameshaona ameshajazaKwa vyeti vya karibuni (mimi nina uzoefu wangu vyeti vya 2017) entry number huwekwa juu ya cheti kabla hata jina la muombaji wa cheti halijawekwa
Tusaidie vijana hawaI'm in πͺπ½
Mimi tayari nimehakiki lakini verification number siioni na ndio inayojazwa kwenye maombi ya mkopo πWakuu na mm Nataka kuhakiki Cheti cha kifo Rita, je entry namba ya Cheti cha kifo ni Ipi msaada wenu tafadhali
I mean "entry no" ndugu ile ambayo wanakutaka mwanzoni kabsa uijaze kwenye form yao ileMimi tayari nimehakiki lakini verification number siioni na ndio inayojazwa kwenye maombi ya mkopo [emoji849]
Mimi tayari nimehakiki lakini verification number siioni na ndio inayojazwa kwenye maombi ya mkopo π
Asee nafahamu kuhusu cheti cha kuzaliwa inakua imeandikwa kabisa entry number na iko kabla ya majina mkuu. Kuhusu cha kifo ngoja wajuzi waje.I mean "entry no" ndugu ile ambayo wanakutaka mwanzoni kabsa uijaze kwenye form yao ile
eRITA PortalFailed to register user , Network Error!