Hivi ni wapi imesemwa kuwa Bunge la katiba litakuja na rasimu nyingine!!??
Hivi ni wapi imesemwa kuwa Bunge la katiba litakuja na rasimu nyingine!!??
Kitu kimoja cha msingi ambacho tunatakiwa kukijua ni kuwa Rasimu ya Katiba ( kama nilivyo isoma na kuielewa mimi) imejengwa katika misingi ya Serikali tatu. Kuanzia bunge la JMT (wabunge 75 tu), mambo ya Muungano 7, na mfumo wa Serikali ya JMT etc. Kwahiyo kama Serikali 3 hazitapitishwa maana yake kazi yote iliyofanwa na Tume ya Warioba haitakuwa na maana yoyote na Bunge itabidi lianze kutunga Katiba mpya itakayohusu Serikali mbili tu.
Watafanya marekebisho ya katiba ya 1977 kwa kuingiza baadhi ya vipengele vya rasimu 2.Kitu kimoja cha msingi ambacho tunatakiwa kukijua ni kuwa Rasimu ya Katiba ( kama nilivyo isoma na kuielewa mimi) imejengwa katika misingi ya Serikali tatu. Kuanzia bunge la JMT (wabunge 75 tu), mambo ya Muungano 7, na mfumo wa Serikali ya JMT etc. Kwahiyo kama Serikali 3 hazitapitishwa maana yake kazi yote iliyofanwa na Tume ya Warioba haitakuwa na maana yoyote na Bunge itabidi lianze kutunga Katiba mpya itakayohusu Serikali mbili tu.