Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Debora Kafuku zawadi maalum kwa kuwa amefanya vizuri kwa upande wa wanawake katika Chuo Cha Jeshi Monduli mkoani Arusha, wakati wa sherehe za kutoa Kamisheni kwa wahitimu.(Picha na John Lukuwi).
Tangia ile siku yule afande wa ile kampuni ya Meremeta alipotutishia usalama wetu ndiyo nimefahamu ya kuwa kumbe uhalali wa JK kutuongoza ni vitisho kutoka majeshini na polisi.................................