Uhalali wa mtandao wa www.dq-video.xyz unaohusu malipo baada ya kutazama video

Uhalali wa mtandao wa www.dq-video.xyz unaohusu malipo baada ya kutazama video

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Habari wakuu?
Ningependa kufahamishwa juu ya huu mtandao unaohusika na malipo ya USD 400 baada ya kutazama video online kama ni halali au utapeli.

Yeyote mwenye ufahamu wa huu mtandao naomba anipe maelezo.
 
Angalia review zake youtube. Wengi wanasema ukifikisha hizo hela wanaanza kuzingua ku log in au wanafuta account kabisa. Au wanakwambia hauwezi ku withdraw kwasababu haujarefer watu 30, ukirefer hao watu 30 umewaongezea victims tu, bado watakuzingua tena na hivyo vya juu n.k.
 
Asanteni kwa michango yenu Kaka zangu.Walikuwa wananimalizia mb zangu tu
 
Habari wakuu?
Ningependa kufahamishwa juu ya huu mtandao unaohusika na malipo ya USD 400 baada ya kutazama video online kama ni halali au utapeli.

Yeyote mwenye ufahamu wa huu mtandao naomba anipe maelezo.
Usitumie wala kuclick sites zinazoishia na .xyz
 
Back
Top Bottom