Angalia review zake youtube. Wengi wanasema ukifikisha hizo hela wanaanza kuzingua ku log in au wanafuta account kabisa. Au wanakwambia hauwezi ku withdraw kwasababu haujarefer watu 30, ukirefer hao watu 30 umewaongezea victims tu, bado watakuzingua tena na hivyo vya juu n.k.