Uhalifu mkubwa ambao wahusika imeshindikana kuwakamata

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2023
Posts
1,483
Reaction score
2,392
Hi ni HISTORIA kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kwa kushindwa kabisa KUWAKAMATA waliotenda UHALIFU huu
1.Waliompiga RISASI Mwanasiasa TUNDU LISSU
2.Waliomteka Mfanyabiashara MO DEWJI
3.Waliowateka na kuwapoteza AZORY GWANDA na BEN SAANANE
Uhalifu huu mpaka sasa utabaki kuwa HISTORIA kwa Vizazi Vijavyo kuwa Waliotenda huu UHALIFU Hawakuwahi KUKAMATWA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hawajui au wameamua kutokujua🤔
 
Back
Top Bottom