Hi ni HISTORIA kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kwa kushindwa kabisa KUWAKAMATA waliotenda UHALIFU huu
1.Waliompiga RISASI Mwanasiasa TUNDU LISSU
2.Waliomteka Mfanyabiashara MO DEWJI
3.Waliowateka na kuwapoteza AZORY GWANDA na BEN SAANANE
Uhalifu huu mpaka sasa utabaki kuwa HISTORIA kwa Vizazi Vijavyo kuwa Waliotenda huu UHALIFU Hawakuwahi KUKAMATWA.
Sent from my SM-A145R using
JamiiForums mobile app