14 April 2024
KUHUSU UHALIFU NA UPOTOFU ''Crime & Deviance''
Mchambuzi na mtafiti wa masuala mbalimbali ya kijamii mwana sociolojia Bw. Bituro Paschal Kazeri
View: https://m.youtube.com/watch?v=rcv2Gtibi-4
Ni kitu gani kisababisha uhalifu na upotofu katika jamii . Sheria hutengeneza kosa au uhalifu na kutoa adhabu, bila sheria hakuna uhalifu. Na sheria zote hutungwa na binadamu na hubadilika kutokana na nyakati. Uhalifu ni kitendo cha kuvunja sheria.
Fuatana nasi katika makala ya leo inayogusa uhalifu na upotofu. Fahamu ni kwanini baadhi ya watu katika jamii yetu hupotoka na kufanya uhalifu au ukaidi au kukengeuka ... dhidi ya utaratibu wa jamii husika katika nyakati husika ...... Na sababu tano zinazopelekea mtu kufanya uhalifu iwe rushwa n.k ni
Source : sociology tanzania

- Maamuzi
- Tamaa
- Kudhibiti hapa kuna makosa mengi
- Kulipa kisasi
- Ushawishi na makundi / fursa
Source : sociology tanzania