chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Kwanini uhalifu hauwezi kuisha
Uhalifu ni koo kubwa ambayo kuna sehemu unafikia hata unayekemea au kuzibiti mfano Polisi, Jeshi, TAKUKURU, TISS, Selikali, viongozi, jirani, ndugu na n.k bado itajikuta nao wanausika kwenye uhalifu!
Uhalifu unaweza kugusa hata mkubwa yoyote na mdogo yoyote kama nilivosema hapo juu!
Uhalifu ukiona unapindishwa pindishwa kudhibitiwa, ujue basi una matawi na mizizi aka (root)
Uhalifu ukiona haukemewi ujue kuna mkubwa au kuna mdogo kama mfano niliyotaja hapo juu.
Uhalifu ukisemewa ukweli lazima ukugeuke maana una matawi na mizizi.