FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
well said mkuu... if we want to assess our partnerships; cha kwanza kufanya ni kuwa fair and then balance your score cards, one they are positive, then it is our tasks to build on the positivity
- ...Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??... Just to have maximum romances internally and at the same time give a hand and support each other in counting years ahead of us (
- ...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?.. it was real gud, though it needs a buster now and then
- ...Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya??? Kwa uzuri na ubaya vyote vyote (ila uzuri umezidi mabaya)
- ...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua??? namshukuru mungu kwa kunipa huyu "mtoto mzuri" toka nyanda hizo ila nazidi kumuomba Mungu ampe mambo mengine anayomiss na mimi anipe mambo ninayomiss ambayo yeye anayatamani niwe nayo
- ...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya??? ningefanya uamuzi huo huo kwa sababu hakika huwezi kumpata Mtu hata mmoja ambaye ana utimilifu 100% kinachotakiwa ni kujua jinsi ya kuishi na mke/mume wako (within those differences or expectation gaps)!! .. mtu asijidanganye huwezi pata 100% perfect!!
Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!
dah... CD never minced a word here today, LOLLizy kila mara naona unaandika thread za ku-critisize ndoa? Whats wrong with you? Umeshajichunguza ukajua udhaifu wako? Naona kama unataka mwanaume atakayekuoa aje kama YESU. Nasikitika kukwambia kwamba hakuna mtu aliyesahihi, ongea na mama/baba mzazi watakwambia kilichowafanya wawe pamoja mpaka leo UVUMILIVU.
Nakushauri sana uwe makini, you are negative all the time, yote unayoliza hata wakijibu hayana faida kwako. NO ONE IS PERFECT.
Jana nlianzisha thread kuuliza wale ambao bado hawajoa/olewa kama wangependa kufanya hivyo mbeleni na kama ni ndio au sio kwanini??!
Majibu niliyopata yalikua yanatofautiana kwanzia waonataka kuwa na watu wa kushea nao maisha....mpaka wanaotaka kupendeza tu siku ya harusi na wa wanaotaka security!!
Nikajikuta najiuliza kwa wale ambao wapo kwenye ndoa je nini kilichowashawishi na je walipata yote waliyotarajia na kutamani kuyapata
kwenye ndoa???!
Kwahiyo naomba niwaulize kwa faida ya wale wote tuliopo nje...
...Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
...Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya???!
...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!
...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya???
Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!
Lizzy dear thanks for the thread... Interesting...lol... Umewaza nini???? Enways....
Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
Lizzy nampenda shemejio vibaya mno na namshukuru Mungu ndoa
haijafanya Mapenzi yapungue bali yawe stronger... Nafikiri inachangia
pia na the fact kua we both appreciate each other and compromise
in cases were neccessary... For instance sipendi football (najua nitazomewa hapa..lol)
but whenever anipi attention sababu ya mpira i don't care...
Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
I think nimeijibu above... It's wonderful, ndo mana Partner nimekazana
kupiga debe so that soon and very soon upate wako...lol
Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya???!
I think kwa uzuri zaidi... I thot itakua kazi saana, kumbe jamaa kanizimia kama
nilivyomzimia.. the rest vinafuata..
Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!
Partner HELL Nooooooooooooooooooooo!!!!
Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa
pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya???
Kabla ya ndoa ningemsisitiza kua i want not less than 4/5 children... ili asing'ang'anie namba
ndogo ya watoto.
[/COLOR]
hapo kwenye red unanikumbusha story ya jamaa ambao wakiwa bar kila mmoja anajitutumua kuwa yeye undava undava tu mwanamke hambabaishi nyumbani kumbe weeeee akiingia tu 'mama Kayai nisamehe nimechelewa,sio mimi ,ni Bishanga kanichelewesha na porojo zakeeeee,maneno kibao huku amepiga magoti!
Lizy kila mara naona unaandika thread za ku-critisize ndoa? Whats wrong with you? Umeshajichunguza ukajua udhaifu wako? Naona kama unataka mwanaume atakayekuoa aje kama YESU. Nasikitika kukwambia kwamba hakuna mtu aliyesahihi, ongea na mama/baba mzazi watakwambia kilichowafanya wawe pamoja mpaka leo UVUMILIVU.
Nakushauri sana uwe makini, you are negative all the time, yote unayoliza hata wakijibu hayana faida kwako. NO ONE IS PERFECT.
Thanks Lizzy kwa thread nzuri,
Kwangu mie,sipaoni pengine palipo/ patapokuwa na afadhali/bora kuliko hapa nilipochagua,kwa mtazamo wangu matatizo yapo kunijenga na kunifanya niwe mke bora zaidi na sababu niliingia kwa kupenda kwa moyo wangu wote na nilimuomba Mungu anipe msaidizi atayefanana na mimi na ndie huyu(mume wangu mpenzi) ndivo itakavokuwa kama nilivoapa mbele ya madhabahu tarehe ile miaka saba iliyopita na MUNGU ANISAIDIE.:A S-rose:
I thank you MJ1 for sharing this side of analysis.... You are very right kwamba maisha ya ndoa ni smooth kama bahari (we have the highs and lows).... na nimependa zaidi ile depth uliyoweka in such few wordsLizzy.................. kwa hii thread yako sina cha kuchangia all that I ca say ni kuwa maisha ya ndoa sio ambarare kama lami bali ni smooth kama uso wa bahari ambao kuna wakati una mawimbi madogo na makubwa. Experience ya hayo mawimbi inategemea na mtu na mtu na ndoa na ndoa. Ofcoz huwezisema kuwa umeyakuta ambayo hukuyatarajia bali tuseme umeyakuta ambayo HUKUJUA kama nayo HUTOKEA ndoani.... na pia huwezi jutia moja kwa moja kwa kuwa hakuna ndoa yenye machungu pasipo matamu .......besides hayo machungu (yasizdi kipimo lakini) ndiyo yanayoifanya ndoa kuwa exciting, exhilarating, thrilling, stimulating and electrifying institution.
Concept ya ndoa haipo kama wewe au mimi tunavyodhani,tatizo kila mtu ana sababu yake ya kuingia kwenye ndoa,ila kwakuwa sababu zetu huwa bandia ndoa maana ndoa zinaishia njiani,itafute sababu iliyo sahihi kabla ya kuingia kwenye ndoa