Uhalisia kuhusu baadhi ya wanawake wa Kiafrika

Jok
Jokate anafit humo ?
 
Kuna mabinti wa 2000s na 2010s nakutana nao humu mjini, asilimia kubwa (90%) kwa jinsi walivyovaa na namna wanavyoongea au kupangilia hoja huwa wananitafakarisha sana. Maana hawana qualities za wife material kabisa. Huwa najiuliza ndiyo hawa kweli tunaotakiwa kuja kuwaoa?? Bahati mbaya au nzuri kwao wakifika umri wa kuhisi wanahitaji waume ndiyo wanaanza kuvaa kwa kujisitiri ila vichwani wanakuwa hawana kitu, matokeo yake ndoa zimekuwa kaa la moto

Jamani msione watu wanafunga ndoa nyingi kila siku, mashauri ya kuachana na talaka pia yapo mengi mno nyie acheni tu
 
Ndoa ni utapeli
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mimi nawapenda hawa balaa nina lishangazi limoja leupe lina tako kubwa na nyonyo limenimiss majukumu yakipungua nitaliita nilipo nililombe usiku kucha!
jali afya yako kijana wangu..mashangazi ni mambo yakupita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…