Dogo Tundu
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 448
- 189
Kwanza mi nikiri kuwa GPA ni kipimo cha kisayansi juu ya uwezo wa mtu darasani (but not applicable in practical life) hapa namaanisha hakuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya GPA kubwa na mafanikio ya kimaisha.
Sasa kuna watu bila ku consider mazingira ya mtu alipokuwa chuo, moja kwa moja wanamjaji uwezo wake wa akili na GPA, masalani yule aliyepata GPA ndogo huchukuliwa kama kilaza asiyeweza fanya chochote kwenye ulimwengu huu.
Kilichonishangaza ni matokeo ya juzi ya watahiniwa wa nafasi mbalimbali za kazi TPDC, kuna watu wane score mpaka zero, imagine!
Kwa wasiofahamu TPDC huitwa kwenye usaili wenye 1st na 2nd upper class tu. Wenye 2nd lower kushuka chini hawatakiwi kwenye hili shirika letu la umma.
What a discrimination!
Sasa swali langu how come mtu awe na hizo sifa za kitaaluma anashindwa kupata japo 1%. Ni aibu kwa mtu kuamini GPA ndo zinafanya kazi, huku wenye GPA kubwa wakiwatia aibu wenzao kwa kushindwa kujibu hata swali moja.
Kwa mfano nafasi niliyofanya written interview mimi mtu wa mwisho ana 8, imagine. Ifike wakati wa watanzania kuacha kubaguana sisi kwa sisi, tutakuwa tunaliangamiza taifa letu.
Mimi sina hizo GPA zao walizotaka but nadhani walini shotlist kutoka na Masters yangu, na nimeshika nafasi ya pili kati ya mamia tuliofanya hiyo written interview.
Naamini walitakiwa kuwa fair kwa kuita wote walioomba kwenye written then from there wangepata right candidates for oral interview.