1. Usafiri wa kwenda shuleni na kurudi nyumbani jioni bado ni kero kwa wanafunzi wengi. Hadi saa 4 asubuhi bado baadhi ya wanafunzi wanakuwa wanasubiri usafiri vituo mbalimbali vya mabasi jijini Dar es Salaam. Mara nyingi wanakataliwa kuingia kwenye daladala na makondakta au wanaambiwa wasubiri gari lijae ndipo waingie na likishajaa dereva anaondoa gari bila kuwapakia.
2. Baadhi ya shule za sekondari hazina maabara na zenye maabara hazina walimu waliobobea kwenye sayansi na kama kuna walimu hawatoshi.
3. Walimu wengi bado wanafanya kazi kwenye magingira magumu.
4. Hali hii hainipi picha kwamba ufanisi kwenye elimu umefikia asilimia 81 kama tunavyoambiwa kwenye ripoti ya 2013/14 ya BRN.