Baada ya ahadi ya miaka mingi moyoni mwangu ya kwenda kutembea na kuijua tanga isemwayo kwa mengi. Sasa imewadia na nahitaji kutimiza nlichokiahidi moyoni mwangu.
Nataka sasa nikayaone mazuri ya Tanga haswa upande wa totozi.
Nataka nikatulie kwanza korogwe week then Handeni week then Tanga mjini week katika mji wa korogwe ni pande zipi naweza tembelea nikapata mtoto wa kitanga wa kurefresh nae kwa hii week au tanga mjoni by next week.
Leta code wadau nipo siriazi.
Kwa hapa korogwe mjini.
Mimi ni mwenyeji sana huko, itakua vema ukaniungia bili ya kwenda huko nikakuonesha viwanja, mshahara wangu ni laki mbili tu ukiachilia mbali ghalama za safari.