Uhalisia wa taifa la Israeli

Aisee kama nayaona vile mateso ya Escape from Sobibor.....
Mimi kinachoniacha hoi ni suala la Wakristo leo hii ati wanasaka nauli na wengine kwa kuziombaomba hadi bar kwa ajili ya kwenda "kuhiji". Jamani "kuhiji" sio nguzo ya imani ya ukristo bali ni nguzo kubwa katika imani ya Kiislam kati ya zile tano. Sasa mtu anajikusanya na permit sijui na nauli mpk afike huko mara aende Yordani mtoni pale, abatizwe. Aisee Mungu ninayemuamini mimi network yake sio weak mpk nimfuate huko. Wakristo wa dijitali buana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hata huyu Netanyahu sijui kama kweli amebatizwa
 
Well said
 
70% ya waisrael sio wakristo
 
Kweni tafsili halisi na maana ya kuhiji ni nini mpaka mwanadamu mwingine awe sahihi kuhiji na mwingine asiwe sahihi?watu hua mnajidanganya kweli yani,hamjui hata huko wanakoenda kuhiji waislam wao pale wala hawana habari na kuhiji kwenu,wao ni sehemu ya mapato pale wageni wanapokuja,sasa huku kwetu kunakua na watu eti wanajiona wao ndo wako sahihi kuliko wengine,hii ni kutokujua kukubwa na kumeza mliyolishwa
 
Amen RA. ..
Hakika nashukuru sana Kwa somo. ..ubarikiwe sana
Sasa wee mp*mbav* una quote li thread lote ili halafu unaandika maneno hayazidi hata kumi! Acha huo ush*nzi unatuchosha banaa aagahgaaa
 
Kweli mkuu kiasi fulani ivi nimekuelewa.
 
Sasa wee mp*mbav* una quote li thread lote ili halafu unaandika maneno hayazidi hata kumi! Acha huo ush*nzi unatuchosha banaa aagahgaaa
OLIACHUGA OC WEWE NI KICHAA PASE. .SIJUI UMEIBA WAPI SIMU UKAWEZA KUINGIA JF. ..KAMA UNAJISIKIA KUTUKANA JIANGALIE KWENYE KIOO NA HUYO UTAKAE MWONA MTUKANE. ..IMBECILE WA HEAD..
 
OLIACHUGA OC WEWE NI KICHAA PASE. .SIJUI UMEIBA WAPI SIMU UKAWEZA KUINGIA JF. ..KAMA UNAJISIKIA KUTUKANA JIANGALIE KWENYE KIOO NA HUYO UTAKAE MWONA MTUKANE. ..IMBECILE WA HEAD..
Pole mdada sor for that ila inaboa sana.
 
BRAVO,BRAVO BRAVO................
MOJA KATI YA NYUZI NZURI ZA KUMALIZA MWAKA
NI WACHACHE SANA WATAKAOELEWA.
 
Tel aviv ni gay haven? fafanua hapo maana sijaelewa.
Inakuaje unaeleza Wamisri ni weusi?
Na Yesu naye alikuwa na rangi/race ipi?
Ni kweli kwamba wamisiri asilia walikuwa weusi kabla ya kuja kikazi cha waarabu...angalia mafarao wa misiri utajifunza kitu
 
70% ya waisrael sio wakristo

Kwahiyo???? Maana mimi sijasema waisraeli ni wakristo au ni waumini wa Judaism au sijasema asilimia ngapi yao ni wa dini gani. Hiyo haikuwa hija yangu
 
Kaka umenipa zawadi ya mwaka. Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia kuhusu taifa la waisrael na waisrael wenyewe. Tatizo watu wengi hawataki kujifunza kutoka sources mbalimbali. Hata ukitumia common sense 'iweje kuwe na taifa la wazungu katikati ya waarabu na waafrika?'' tunaaminishwa eti yesu ni mzungu na tunakubali. Anyway, tumeaminishwa uongo kwa takribani miaka 2,000 na uongo huo umeshageuka kuwa ukweli lakini hata hivyo tusipuuzie zile semi zetu zisemazo 'njia ya mwongo ni fupi' Dunia imeanza kujua ukweli kuhusu waisrael wa leo kuwa sio wale walioandikwa kwenye Biblia.

Nimepitia baadhi ya comments za watu humu ndani. Unaona kabisa comments zilizotolewa ni kwa sababu ya watu kukosa ufahamu wa jambo na zaidi ushabiki ambao aliambiwa Israel ni taifa teule. Mtu anahoji eti waisrael wa kweli ambao wapo utumwani wako nchi gani???? Labda niseme tu, blacks ndio waliochukuliwa utumwani na wengi bado wapo utumwani na wametawanyika karibu dunia nzima, sasa wako wapi nasema wapo nchi za Uingereza, USA, Ubeligiji, ufaransa, visiwa vya carribean (Jamaica, Bahama, Laos, Hait, Cuba n.k) pia America ya kusini (Nchi zote za America ya kusini wapo kwani walipelekwa kulima miwa huko). Nchi za kiarabu wapo(Minorities) na wananyanyasika kweli Misri, Libya, Morocco, Iraq, Iran, Saud Arabia, Qatar na nchi nyingine. tuje kwa upande wa pili, waisrael walipelekwa utumwani katika nchi zipi???? je, wametawanyika dunia nzima?? walifanyishwa kazi za kitumwa wapi??? Labda tufahamu, wayahudi waliwatumikisha blacks kwenye mashamba makubwa na viwandani kule USA. Blacks walihusika kujenga jengo la white house (Michele Obama), Pentagon na majengo mengine ya zamani huko USA, halikadhalika katika nchi za uiengerea, ufaransa, ubeligiji na nyingine nyingi.

Hapa TZ kulikuwa na njia za watumwa zikianzia Ujiji (wakitokea nchi za congo) hadi bagamoyo na Zanzibar (Sijui ndio waisrael wenyewe, hili linahitaji kujifunza zaidi). Nasema tujifunze zaidi kwani historia ya watu weusi iliandikwa na wazungu baada ya kutawala nchi za kiaafrika, swali kabla ya wazungu huko nyuma kulikuwa na nini??? hatukuambiwa. Tatizo lingine, wazungu hadi leo hawaamini kama blacks wanaweza kuwa na kitu positive na ndio hao hao tunajifunza elimu zao (vitabu wameandika wao), mass media ni za kwao (CNN, BBC, FOX NEWS, ABC NEWS etc) na bado tunaamini wanachokisema. Historia ya watu weusi inapatikana ndani ya Biblia kwa wale wa Quran mtasaidia nanyie huko.

Kama mtoa mada alivosema kulingana na Biblia kuna utaratibu wa wana wa Israel kurudi kwenye nchi ya ahadi. Israel ya leo (ya akina Natanyahu) ilianzishwa May 14, 1948 na baraza la umoja wa mataifa (Kinyume kabisa na Biblia inavyosema). Mtazamo wangu, hii ilikuwa ni mbinu ya USA na nchi nyingine za ulaya kupunguza threats kutoka nchi za kiarabu. tumepotoka kuamini taifa la Israel ni teule na hakuna anayeweza kuwashinda kivita. Hii sio kweli, jeuri ya waisrael hawa fake ni kwa sababu ya support kutoka marekani. Kila vita aliyopigana myahudi na kushinda wale waarabu support ilitoka USA (siraha, fedha na technical war strategies). Mfano vita ya 1974 dhidi ya misri baada ya kuona amehemewa aliomba ndege za kisasa na makombora kutoka USA ndio ikawa pona yake.

Mimi naamini na bado nitaendelea kuamini Israel ya leo na waisrael wenyewe sio wale waliopo kwenye Bible bali ni Freemason na Illuminati wanaoendeleza mikakati ya kishetani duniani( Fuatilia who are illuminati/Freemosonaries). Kumbukeni Israel ni miongoni mwa mataifa duniani yanayotambua ndoa za jinsia moja na miji kama Tel Aviv kuna mashoga wengi sana (Bendera za Rainbow ni nyingi kuliko). Tujifunze zaidi tujue mbivu na mbichi. tusihamaki katika kutoa comments zetu. Wanaoenda kuhiji Israel wakae chini watafakari waache mihemuko ya ukereketwa wa dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…