Uhalisia wa taifa la Israeli

Wamisri ni dark kabisaa..... Baada ya kuingiliana na waarabu ndo wamekuwa weupe by some extent, ila mpaka sasa majority yao kuna dark wengibsana.... Wamisri hawajawahi kuwa weupe ilo lipo wazi kabisa.
 
Jamani tofautisheni dark na black..... Waisraeli walikuwa dark people,,, somewhere between whites and blacks napia walikuwa na nywele, mfano jinsi waethiopia walivyo....
 
Naendelea fuatilia hivyo vitabu ulivyovitoa kama reference mkuu.
 
Hapo kwenye swali eti walijulikanaje ndo wakarudishwa Israel.....kwani Adolph hitler aliwafahamje hadi kuuwa zaidi ya million 6..??
 
Hapo kwenye swali eti walijulikanaje ndo wakarudishwa Israel.....kwani Adolph hitler aliwafahamje hadi kuuwa zaidi ya million 6..??
 
Pongezi mkuu nimekuelewa kweli wewe ni great thinker.....swali je unafahamu kuwa asilimia kubwa ya wamisri ni waarabu au ndo waliletwa na uarabu kutoka Asia..??
 
Jamani tofautisheni dark na black..... Waisraeli walikuwa dark people,,, somewhere between whites and blacks napia walikuwa na nywele, mfano jinsi waethiopia walivyo....

Weka kifungu Cha Biblia kinacho buck up haya maneno yako
 
Swali lako ni nini hapa sijaelewa!
 
Pongezi mkuu nimekuelewa kweli wewe ni great thinker.....swali je unafahamu kuwa asilimia kubwa ya wamisri ni waarabu au ndo waliletwa na uarabu kutoka Asia..??

Usiwaangalie wa misri wa sasahv kwani ndivyo walivyokuwa miaka zaidi ya 2000 iliyopita? Soma biblia inawazungumziaje wamisri wa kipindi kile jitahidi kuchunguza nilichokiandika na ukitafakari kwa maandiko!
 
Hapo kwenye swali eti walijulikanaje ndo wakarudishwa Israel.....kwani Adolph hitler aliwafahamje hadi kuuwa zaidi ya million 6..??

Una uhakika gani hitler aliwaua wayahudi million 6? Nani alikwambia? Nani alisema wale wazungu wa ulaya ni wayahudi?hizo ni story tu tulizokaririshwa! Infact wayahudi matajiri kama Rothchild walimkopesha hitler pesa kufanya ile vita iweje awaue? Ndugu ukitanguliza ushabiki mbele! Ukiwa mfia dini kamwe huji kuijua kweli Mungu anaweza kukufundisha hata kupitia kwa kichaa endapo moyo wako utakuwa willing kujifunza
 
Ok mi ndo nilivyoisoma kutoka kitabu cha Advanced level History book 2...
 
Ogopa laana ya Mungu YEHOVA kila silaaniye Israel atalaaniwa na yule aibarikie naye atabarikiwa.

Sawa tuambie/ tuonyeshe israel ipi tukaibariki ambayo ina fit na yale maandiko ya kwenye Biblia takatifu!,kama ni hii ya akina netanyahu tupe vifungu vya Biblia vinavyoshadadia kuwa hawa wa sasahv ndio wale wa kipindi kile!,hilo andiko ulilo lisema hapo juu umelimeza kama lilivyo pasipo kulifikiria! Ndiomaana Yesu alivyokuja akawakuta wayahudi wameasi hawamuamini na hawayafanyi yale matendo ya baba yao Abraham wamebaki tu kushikilia maandiko pasipo matendo! Yohana 8:39 akawaambia mngekuwa wa Abraham mngetenda matendo ya Abraham! "Kumbe ili myahudi wa kipindi kile abarikiwe ilitakiwa lazma atende yale matendo ya Abraham, lazma atii maagizo ya Mungu!
Nionyeshe Taifa la israel unalosema tunatakiwa tulibariki sasahv lipo wapi? Usije ukapoint kwa wale wazungu wanaojiita wayahudi waliopo pale israel sasahv hawafit! Wala hawana characters za wayahudi wa kwenye bibilia wao wanafit na andiko moja tu katika biblia UFUNUO 2:9!
 
Hii thread imekufunua na kukuvua nguo, umebaki uchi yaani kwa maana rahisi "umejionesha wewe ni kilaza tena bure kabisa".
 
Reactions: Tlg
so hilter aliua wayahudi ama hajaua?
 
Amen RA. ..
Hakika nashukuru sana Kwa somo. ..ubarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…