Uhalisia wa taifa la Israeli

Ogopa laana ya Mungu YEHOVA kila silaaniye Israel atalaaniwa na yule aibarikie naye atabarikiwa.
You have a compromised Mind. Mungu aliwaacha wayahudi baada ya kumkataa Yesu. Ali Strip off baraka zote alizowapa kama taifa teule.
 
Free Palestine
 
Huwezi kuiondoa Israel kwenye ramani ya dunia, Na itabaki hivyo daima na milele kwasababu imeandikwa!
 
Mkuu yesu hakuja kwa ajili ya wayahudi Bali kwa ulimwengu ila wayahudi waliomkataa wapo sawa na wewe au Mimi Kama tukimkataa mwisho neno la Mungu halichunguziki kwa maarifa ya kusoma tuuu Bali ya kiroho pia #chochote unachosema juu ya Mungu nakuomba usiishie kunukuuu vifunguuu tu Bali zama kwenye maombi upate majibu utuletee kwa sababu Nyakati hizi za mwisho watu tunajadili Mambo yanayomuhusu Mungu hata kutaka kuingilia maamuzi au maneno yake tunasahau Kuwa tunachohitaji Sasa ni utakatifu (kutokuwa na dhambi ) hivyo basi nakuomba ujue hivi "wadhanio wamjua Mungu ni wengi ila wajulikanao na Mungu ni wachache " my advice to you is Do whatever you can to be known by God ila wayahudi waaacheee na yao sababu ukifuatilia kwa makini utajua hata uhakika wa unayosema yaliyo nje na Bible yawezakuwa si kweli mwisho kabisa @@@# Mwanakondooo anarudi umejiaandaje
 
umeandaki sahihi na mimi najiandaa kwa namna yangu kumpokea mwana kondoo ila haituzuii kuhoji uongo,Uzushi,udhalimu unaoendelea kwa kisingizio cha Dini au maandiko matakatifu,Hata biblia imesema tuyachunguze maandiko Yohana 5:39,na pia biblia imesema tuchunguze hao manabii,wachungaji na wahubiri kutaka kujua kama wana roho ya kweli au la! na sio kuamini amini tu 1Yohana 4:1,kwahiyo ndugu upo sahihi ulivyosema tujitahidi tujulikane kwa Mungu,lakini hauko sahihi kusema tuachane na wayahudu au watu wa aina yao maana ni sawa na kuacha uongo uendelee kutawala ,deception ni kubwa linapotokea swala la wayahudi
 
Ilikuwa imepangwa Yesu akataliwe na hawa Wayahudi, kila kitu kilikuwa kwenye mipango ya Mwenyezi Mungu... Na ndiyo maana yeye mwenyewe Yesu dakika za mwisho kabla ya mateso yake aliomba mno kwa Baba yake akisema Mt 26:38-42 "Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe...

Kwa hiyo si kweli kama unavyosema wewe kwamba walimkataa Yesu kama mesiya - hili lilikuwa limepangwa ili Mwana wa Adamu asurubiwa kwa ondoleo letu la dhambi.
 
Mkuu Makoshneli, nakubaliana kabisa na wewe Yesu Kristo alipokuja hapa duniani alikuwa na ngozi ya rangi nyeusi. Hata sasa mbinguni akiwa ndiye Kuhani Mkuu bado pia ana muonekani huohuo.

Ukweli juu ya jambo hili tunaupata katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana 1:12-18. Tunapata ushuhuda kutoka kwa Yohana pale alipomuona akiwa mbinguni, miguu yake yake ilikuwa kama shaba iliyosuguliwa sana na kusafishwa katika tanuru (la moto).

Rangi ya shaba iliyosuguliwa na kusafishwa, yaani "refined copper" ni mfano wa ngozi ya mtu mweusi mwenye rangi ya kunde. Na pale uonapo rangi ya miguu ya mtu ni sawa na kuona pia rangi ya mwili wake wote.
 
Ndugu yangu MAKOSHNELI nimeusoma "uzi" wako mwanzo mpaka mwisho, nimecheka sana.
Well, somehow you have a point. Ni ukweli kwamba miongoni mwa zile Kabila 12 za Israeli kuna ambao ni weusi, hilo halina ubishi.
Na kingine ambacho hujakizungumzia ni kuhusu kabila mbili zilizotoka kwa Yusufu yaani watoto wawili wa Yusufu ambao ni Efraimu na Manase, hawa walikuja kuwa makabila mawili tofauti, soma MWANZO 48:8-20
Efraimu na Manase ni mataifa makubwa mawili yaliyopo duniani kwa sasa, Efraimu ni UK na Manase ni USA. Hiyo ni siri inayojulikana na wachache sana, lakini huo ndiyo ukweli ulivyo.

Nakubaliana na wewe kuhusu baadhi ya points zako, mfano, ni kweli kuwa wale waluopo pale Israeli sasa hivi siyo Wayahudi halisi, hiyo ni kweli, lakini siyo wote, baadhi yao ni Wayahudi halisi kabisa kutoka kwa uzao wa Yuda. Kumbuka imeandikwa kuwa Bwana atajibakizia mabaki wachache ambao hawatachukuliwa kwenda utumwani.

By the way, uzi wako umenifurahisha. Hata Yesu Kristo pia hakuwa "Mzungu" kama tulivyoaminishwa bali alikuwa ni mtu mwenye sura na muonekano usiovutia. Soma ISAYA 53:1-5
"Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta? Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani? Maana alikuwa mbele zake kama mche mwororo, na kama mzizi katika nchi kavu, yeye hana umbo wala uzuri na tumwonapo hana uzuri hata tumtamani. Alidharauliwa na kukataliwa na watu, mtu wa huzuni nyingi ajuaye sikitiko. Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Hakika ameyachukua masikitiko yetu, amejitwika huzuni zetu, lakini tulimdharau ya kuwa amepigwa, amepigwa na Mungu na kuteswa. Ball alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuliwa kwa maovu yetu, adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, na kwa kupigwa kwake sisi tumepona".

Inawezekana kabisa moja ya sababu ya Wayahudi kumkataa YESU kuwa ni MESSIAH, ni kutokana na yeye kuwa mtu mweusi, mwenye sura isiyovutia na umbo lisilovutia. Wayahudi ni watu waliokuwa na tabia za kum-judge mtu kutokana na muonekano wake wa nje (superficiality). Rejea jinsi walivyomchagua Sauli kuwa Mfalme wao, kutokana na muonekano wake na wakamdharau Daudi kutokana na muinekano wake.
 
Kuna baadhi ya wakristo wanawatukuza wayahudi kuzidi maelezo.na wengi wao nadhani hawajui vizuri ukristo au ni ile hali ya kwa kuwa wamezaliwa na wazazi wakristo basi na wao wanajiita wakristo? Dini ni muongozo kwetu binaadam kuishi na na kutenda mema lkn kuna baadhi ya wakristo ktk hali ya kustajaabisha wanafurahia na kuisifu israel inavyouwa watoto na wanawake pia wazee kwa vijana wa kipalestina kana kwamba wale wanaokufa si watu. Ukiwa kama wewe ni muungwana huwezi shabikia mateso ya ya binaadam mwenzio lkn la pili ni lazima umchukie yule anaye tekeleza mauaji. Na labda tuwekane sawa hapa haswa kwa wale wakristo wafuata mkumbo yaani kwa ni mkristo tu kwa jina na kwa kujionyesha 1 kama unawatukuza wayahudi kisa wewe ni mkristo jina kwa taarifa yako dini ya wayahudi haimtambui yesu wayahudi wanamtambua musa kama nabii na mtume namba moja kwao sasa wewe wewe unaemtukuza myahudi endelea kumtukuza yule ambaye anamuita yesu ni mzushi 2 kama hiyo haitoshi herode mtawala wa kirumi aliwapa wayahudi chaguo kuwa nimwachie baraba jambazi na muuaji ili yesu asulubiwe au amwachie yesu lkn wayahudi kwa kumchukia yesu wako wewe mkristo wa mwakalaleli wakasema yesu asulubiwe leo hii wewe mfuata mkumbo unatukuza israel kuliko taifa lako tanzania utakuta majuha wengine wanaweka mpk bendera za Israel ktk majumba na magari yao ( Juha ni zaidi ya mjinga)
 
Ukweli wa misri walikua weusi kabisa,ila baada ya kutawaliwa na Ottoman empire.
 
Efraim na manase eti ni UK na Usa??.

UONGO 12:3-4 hii. [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…