Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
zzk jamaa anaelement za kuwagawa watanzania rejea kauli zake wakati ananadi chama chake na azimio la tabora akiwa tabora.pia akiwa tanga anawashawi kuhusu mashamba ya mkonge.
Du! Makubwa! Thank you for the information!Hakuwahi kutoroka yule...suala la kutoroka lilitengenezwa tu, ukweli ni kuwa kaburi lake halijulikani lilipo.
Ukweli kuhusu uraia wa kabwe zuberi zitto ,hili jina KABWE hasili yake ni Kongo,na pia Sauda salum huyu ni mamayake mdogo kabwe. kuthibitisha hilo ni kuwa salum ni mume wa SAUDA (marehemu) baba yake kabwe anaitwa ZUBERI ambaye kwa sasa ni marehemu,Salum si babayake (kabwe zitto zuberi) hata ukichunguza hapo kwenye majina yake hakuna jina SALUM.kwani ni kawaida ya mtoto kutumia jina la baba.
ujio wa KABWE.
uchunguzi unasema babayake KABWE (bwana zuberi) alikimbia kutoka Kongo kama mkimbizi na alikimbilia Tanzania kwa mamayake mdogo na bwana KABWE ambaye pia ni mdogowake mkewe kama mkimbizi.Bwana KABWE Aliletwa Tanzania 1980,baada ya miaka miwili zuberi alikutwa na mauti.bwana kabwe alianza darasa la kwanza Kigoma Primary School Primary Education 1984 mpaka alipofika kwa sasa kwa ufupi.bila kufahamika kuwa ni mkongo.
Hapo kwa Karume rekebisha sio Msumbiji ni MalawiMbona hata Karume asili yake ni Msumbiji na bibi yake chotara wa kisumbiji na Oman, pia Magufuli asili yake ni Rwanda kabila ya Hutu, mama yake ni chotara wa kisukuma na bukoba, pia mimi...
Na hapo kwingine?Hapo kwa Karume rekebisha sio Msumbiji ni Malawi
Usiniambie mkuu ??Ukweli kuhusu uraia wa kabwe zuberi zitto ,hili jina KABWE hasili yake ni Kongo,na pia Sauda salum huyu ni mamayake mdogo kabwe. kuthibitisha hilo ni kuwa salum ni mume wa SAUDA (marehemu) baba yake kabwe anaitwa ZUBERI ambaye kwa sasa ni marehemu,Salum si babayake (kabwe zitto zuberi) hata ukichunguza hapo kwenye majina yake hakuna jina SALUM.kwani ni kawaida ya mtoto kutumia jina la baba.
ujio wa KABWE.
uchunguzi unasema babayake KABWE (bwana zuberi) alikimbia kutoka Kongo kama mkimbizi na alikimbilia Tanzania kwa mamayake mdogo na bwana KABWE ambaye pia ni mdogowake mkewe kama mkimbizi.Bwana KABWE Aliletwa Tanzania 1980,baada ya miaka miwili zuberi alikutwa na mauti.bwana kabwe alianza darasa la kwanza Kigoma Primary School Primary Education 1984 mpaka alipofika kwa sasa kwa ufupi.bila kufahamika kuwa ni mkongo.
Zito ni MburundiNi mkongo au mburundi au Tanzania?? I am confused.