Hii mimi simo, aka.
Sema kweli!
Unaweza ukaja kwenye ofisi zetu za uhamiaji
kiswahili chao hakieleweki kabisa.ila pia sio ngumu kuwabaini kuwa ni wageni kutoka wapi.
Acheni waafrika wenzenu watafute ridhiki, mbona mna wivu wa kijinga sana!!! Yaani kazi ya ualimu na yenyewe ni ya kuoneana wivu???
Ualimu ni huduma tu kwa jamii, huwezi kuwa milionea kwa kuwa mwalimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga hii ni nchi yetu watanzania hatukatazi mtu kuja ila lazima utaratibu ufuatwe.Walimu acheni majungu.kiingereza hamjui mnawachongea walimu wenzenu wa nje wasifundishe.Hivi bila kiingereza kijana atafanya kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app