Walimu acheni majungu.kiingereza hamjui mnawachongea walimu wenzenu wa nje wasifundishe.Hivi bila kiingereza kijana atafanya kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii shule ya Martin Luther ni tatizo kubwa sana hata NSSF walikuwa wanatoa data za uongo wamebanwa mbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu wa shule alitaka kuwaepusha watoto na "ze dog is in ze house"Walimu acheni majungu.kiingereza hamjui mnawachongea walimu wenzenu wa nje wasifundishe.Hivi bila kiingereza kijana atafanya kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapo nini hujaelewaDuh.. mkuu kama uneamua kutoa taarifa andika kama unatoa taarifa sio unaanzia kati kati
Mimi mwenyewe natamani mwanangu afundishwe na mwalimu wakigeni anae mudu kiingereza vizuri ili asije akawa kama waziri wa elimu hasio jua hata simple English pamoja na kua na phd 'shame upon you Ndalichako'.......Acheni waafrika wenzenu watafute ridhiki, mbona mna wivu wa kijinga sana!!! Yaani kazi ya ualimu na yenyewe ni ya kuoneana wivu???
Ualimu ni huduma tu kwa jamii, huwezi kuwa milionea kwa kuwa mwalimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niaminivyo wanajamii wa mahalia husika (mjini/vijijini etc) huwa wanataarifa husika, cha msingi ni namna gani unashirikiana nao kuzipataaa
Mtaani huwa kuna vijana wamekaa tuu wanacheka na kupiga zao storiii...unapita mbio ata salamu akuna...hahaa siku ya siku likitokea la kutokea wanakwambia uwe unasalimia
HUyu ANAONEKANA ANATOKA UKOOO WA WALIMU WALIOSOMA NA WENGI WAKO.MAJUMBANI UKIONA HIVI SI HABA MPWAA NASHAURI MUNGU AZIDI KUONGEZA AJIRA ZA WALIMU TUPUNGUZE HII MAMBOOMimi mwenyewe natamani mwanangu afundishwe na mwalimu wakigeni anae mudu kiingereza vizuri ili asije akawa kama waziri wa elimu hasio jua hata simple English pamoja na kua na phd 'shame upon you Ndalichako'.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu suala kuu sio ajira ya ualimu, je waalimu wetu wana uwezo wa kumudu wa lichosoma nakukifundisha ipasavyo kwa watoto wetu, jiulize kwanini tatizo la waalimu wakigeni liko Tz sio ug au ky mfumo wa elimu yetu inabidi uangaliwe upya ni mbovu kabisa, imagine mualimu inahitum shahada ila ukimsikiliza kiingereza chake ni 'shake before you use..........wakati mtihani yote katumia lugha hiyo hiyo duhHUyu ANAONEKANA ANATOKA UKOOO WA WALIMU WALIOSOMA NA WENGI WAKO.MAJUMBANI UKIONA HIVI SI HABA MPWAA NASHAURI MUNGU AZIDI KUONGEZA AJIRA ZA WALIMU TUPUNGUZE HII MAMBOO
SMAHANI KAMA NIMEKOSEA NENDAMkuu suala kuu sio ajira ya ualimu, je waalimu wetu wana uwezo wa kumudu wa lichosoma nakukifundisha ipasavyo kwa watoto wetu, jiulize kwanini tatizo la waalimu wakigeni liko Tz sio ug au ky mfumo wa elimu yetu inabidi uangaliwe upya ni mbovu kabisa, imagine mualimu inahitum shahada ila ukimsikiliza kiingereza chake ni 'shake before you use..........wakati mtihani yote katumia lugha hiyo hiyo duh
Sent using Jamii Forums mobile app