Uhamiaji mliokwenda kufanya ukaguzi shule ya Martin Luther jijini Dodoma muda huu mmestukiwa, hamtafanikiwa ukaguzi wenu

Kesho tutaamkia hapo, asante kwa taarifa.
 
Mwanao kurudishwa ndo kisa kuwachomea nguru?? Anakuona ujue
 
Sie kila siku tunasema tuwatafutie walimu wetu waende nje kufundisha. Lakini wao huku kwetu iwe mwiko.

Ufanisi ni jambo muhimu sana,je hao mnaotaka wapewe kazi uwezo upo?

Kumuajiri mbongo ni gharama ndogo kuliko huyo mgeni. Kwa nini wawang'ang'anie wageni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
enery, Tatizo uhamiaji unaweza wapa taarifa ya uhakika kabisa kwamba ofisini kwenu kuna wageni na hawana vibari, wanakuja wanavuta mshiko halafu wanaku-snitch kwa mabosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wakenya wote waliokuja na Uchumi Supermarket na Nakumatt supermarket asilimia kubwa wapo nchini wanafanya kazi maeneo mbalimbali, je vibali vyao vya kazi bado ni valid ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…