Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini.
Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva.
Amekwenda tena NIDA Kinondoni UHAMIAJI wanamwambia alete kitambulisho cha taifa cha shangazi yake, mama yake au baba yake, hiyo ni sawa?