KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Nimeshangazwa na mchango wa madawati Uhamiaji Sekondari kwa wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza, kwani nilitegemea shule zote za Dar zilishapewa madawati ya kutosha. Hebu mwenye undani wa jambo hili atujuze.