Uhamiaji Sekondari na michango ya madawati wanafunzi wapya kidato cha kwanza

KAKA NASOKI

Senior Member
Joined
May 25, 2016
Posts
191
Reaction score
212
Nimeshangazwa na mchango wa madawati Uhamiaji Sekondari kwa wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza, kwani nilitegemea shule zote za Dar zilishapewa madawati ya kutosha. Hebu mwenye undani wa jambo hili atujuze.
 
umasikini mmbaya sana, pesa ya dawati tu inakutoa roho, na upo mjini, je wa kijijin wasemeje. tafuta pesa mkuu. samahan lakini kama manen yangu yamekukeraaa
 
umasikini mmbaya sana, pesa ya dawati tu inakutoa roho, na upo mjini, je wa kijijin wasemeje. tafuta pesa mkuu. samahan lakini kama manen yangu yamekukeraaa
zile tulizochangishwa na Makonda ulishiriki kula nini? au na wewe ni Mwalimu wa hapo? acheni wizi kwa mgongo wa michango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…