Uhamiaji wa kwama media for africa development wazimbabwe watoa rushwa na kurudi kazini kwa mkwala

Uhamiaji wa kwama media for africa development wazimbabwe watoa rushwa na kurudi kazini kwa mkwala

dmvuno

Member
Joined
May 27, 2012
Posts
93
Reaction score
21
Katika HALI isiyo yakawaida Boss wa Media for International Development Tanzania, Counrty director "John Riber" ametoa hongo ya dola $75,000 na Wazimbabwe 2 walirudishwa kazini mara moja baada ya Afisa uhamiaji kupokea kitita hicho cha dola.JOHN aliofukuzwa Uganda kwa unyanyasaji wa jinsia walijidai kuwa "untouchable" hata mtoto wa boss Jordan amekuwa akitoa maneno ya kashfa kwa staff wote bila adabu na baba yake John akimuunga mkono unyanyasaji huo wa kila siku. Wazimbabwe hao wanaishi nchini bila kibali cha kazi kila mara uhamiaji wakija wanavuta ila jana Juni 7, 2012 Alhamisi waliwakamata kabisa ila baada ya hongo hiyo basi walirejeshwa kazini mara moja john-riber.jpg
Mh. Waziri Nchimbi tusaidie
 
Duh sie pale kwetu eti hata Administrative Officer ni mtu wa nje jamani, nimeiomba hio post kila siku zengwe haliishi na tulishaambiwa kabisa kuwa foreihner hawaruhusiwi kufanya kazi ambazo wabongo tunazimudu including hio ya utawala (silalamiki ila naunga mkono hoja)
 
MMHHHH hali ngumu unyanyasaji unaendelea hadi kesho
 
leo mbona balaa thread hazieleweki kabisa.....labda wenzangu mnaelewa....[h=2]Uhamiaji wa kwama media for africa development wazimbabwe watoa rushwa na kurudi kazini kwa mkwa[/h]
 
muhasibu msaidizi na office admnistrator assistant
 
Back
Top Bottom