Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Habari yenu nyote,

Naomba kupewa taarifa toka kwa yeyote anayefahamu. Uhamisho wa watumishi wa serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu (walimu n.k) ni lini?

Nawasilisha.

Wasaalam,
Mwanajamvi.
 
Kwa uhamisho wa July 2015 Tamisemi bado wako kimya mpaka saivi
 
Okey, ngoja niendelee kuvuta subira
 
Habari yenu nyote,

Naomba kupewa taarifa toka kwa yeyote anayefahamu. Uhamisho wa watumishi wa serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu (walimu n.k) ni lini?

Nawasilisha.

Wasaalam,
Mwanajamvi.

kitaratibu ni wiki ya pili julai kwa maombi ya januari hadi juni 30 na wiki ya pili januari kwa maombi ya julai hadi desemba 30 ingawa uhamisho wa januari mwaka huu ilikuwa ni 18.

So vuta subira ni wiki hii ya pili hadi ya tatu
 
kitaratibu ni wiki ya pili julai kwa maombi ya januari hadi juni 30 na wiki ya pili januari kwa maombi ya julai hadi desemba 30 ingawa uhamisho wa januari mwaka huu ilikuwa ni 18. So vuta subira ni wiki hii ya pili hadi ya tatu

Shukrani sana mea wa mtwaro
 
Penye wengi haliharibiki neno
 
ROho inapwitapwita yani Hadi nakuwa mdogoooo sasa xule zishafunguliwa kwenda kazin naona jam cjui ni lini utata huu utawekwa waz
 
roho inapwitapwita yani Hadi nakuwa mdogoooo sasa xule zishafunguliwa kwenda kazin naona jam cjui ni lini utata huu utawekwa waz

Tusubir kwa mazur wiki ijayo
 
Back
Top Bottom