naona kimya tu
Niko mpole, nilidokezwa kuanzia next week mambo yaweza kuwa hadharani
Habari yenu nyote,
Naomba kupewa taarifa toka kwa yeyote anayefahamu. Uhamisho wa watumishi wa serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu (walimu n.k) ni lini?
Nawasilisha.
Wasaalam,
Mwanajamvi.
kitaratibu ni wiki ya pili julai kwa maombi ya januari hadi juni 30 na wiki ya pili januari kwa maombi ya julai hadi desemba 30 ingawa uhamisho wa januari mwaka huu ilikuwa ni 18. So vuta subira ni wiki hii ya pili hadi ya tatu
Shukrani sana mea wa mtwaro