Inamaana jmn ndy mpk mwez wa nane tena mm nilivyochoka kwanza hta hamu ya kufundisha sina ..nombeni msaada wa jinsi barua ya kufunga data sheet invyondikwa n adress zake..plz.Jamani barua mbona hazifiki halmashari duh!
Barua nenda masijala ya ulipoajiliwa, zitakuwepo. Maeneo mengi zimeshafika
Baadhi ya halmashauri barua zilishafika. Fuatilia huko kwako upate ukweli wa hali ilivyo.
Baadhi ya halmashauri barua zilishafika. Fuatilia huko kwako upate ukweli wa hali ilivyo.
Waweza omba uhamisho wa dharura, huo unatoka muda wowote unapokamilisha maombi. Sio lazima July au January tuu
Mi pia ishafika mkuu
Huo wa dharura vigezo vyake ni kama huu mwingine.halafu hiv mtu ukihamia halmashauri nyingine unaweza kuomba kusoma ht kama hujaitumikia kwa mwaka?