Uhamisho Nactivet unapata moja Kwa moja? Mimi nmemaliza form four nmechaguliwa na serikali chuo cha DIT

Elieth54

New Member
Joined
Jun 6, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Ñimeombewa na wazazi wangu nactvet vyuo vya afya na nlikua sitaki Sasa wakinichagua ndo nakua nmehamishwa au inakuaje wakuu nisaidieni sitaki kubadilisha nataka nisomee ufundi nilipochaguliwa
 
ongea na wazazi wako
 
Back
Top Bottom