Uhamisho wa eto'o

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,368
Wakuu anajua uhamisho wa eto'o wa kuhamia rashia na kupata mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote dunia umefikia wapi atujuze maana niliisikia kwenye vyombo vya habari na sijui iliishia wapi

nawakilisha
 
Ameshasaini mkataba, na tayari keshaanza kazi toka last week.
 
Wakuu anajua uhamisho wa eto'o wa kuhamia rashia na kupata mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote dunia umefikia wapi atujuze maana niliisikia kwenye vyombo vya habari na sijui iliishia wapi

nawakilisha
Na alifunga goli kwenye mechi yake ya kwanza ,timu yake ilitoa sare 1-1
 
Anakula pensheni tu saa hizi,soka lote la maana laushindani kishamaliza.Kwa nini aache mpunga mnene ki-hivyo?
 
Wakuu anajua uhamisho wa eto'o wa kuhamia rashia na kupata mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote dunia umefikia wapi atujuze maana niliisikia kwenye vyombo vya habari na sijui iliishia wapi

nawakilisha

si sahihi kuharibu majina ya nchi za wenzetu, rashia ndio nchi gani.......!
 
mkuu jamaa ni noma yani mechi ya kwanza tu walikua washafungwa goli 1 akaingia akitokea benchi na ku equalize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…