tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
Nimeliita ni janga kwani ukiandika barua ya kuomba uhamisho wa kituo chako cha kazi unaambiwa tafuta mtu wa kubadilishana naye.
Sasa mimi nimpate wapi? na ikiwa nikamtafuta na nikamkosa,that means nifie hukohuko nisikokupenda?
Mathalani,nimetumikia hicho kituo kwa muda wa miaka mitano,barua ya ajira na kuthibitishwa ninazo.Sasa kwanini niwekewe ukuta ninapoomba uhamisho ikiwa vigezo vyote ninavyo?
Najiuliza hayo maswali mengi kwani wengi hatujui sheria.Hivi wanasheria,ile sheria ya ajira na mahusiano kazini ina kipengele hiki? na kama kipo kinasemaje?
na kama haina,ni sheria gani inaruhusu uhamisho?
Nitashukuru sana kwa majibu yenu,maana nina uhakika yatakuwa ni msaada kwa wahanga wengi.