SoC03 Uhamisho wa kubadilishana unawanyima haki watumishi

SoC03 Uhamisho wa kubadilishana unawanyima haki watumishi

Stories of Change - 2023 Competition
Joined
Sep 16, 2015
Posts
98
Reaction score
2
UHAMISHO WA KUBADILISHANA UNAWANYIMA HAKI WATUMISHI

Nikiwa kama mkereketwa sipendezwi sana na mfumo wa watumishi kuhama (hasa walimu) wanapohitaji kuhama kwa lengo la kupata changamoto mpya na kumudu majukumu yao Katika kazi na familia hukumbana na kikwazo Cha "Tafuta wa kubadilishana kituo" hiki ni kikwazo mana huwezi niambia shida yangu ya kuhama na sababu zisubiri mwingine apate shida.

Na hili ni Moja ya vinavyokwamisha uboreshaji wa taaluma nchini watu hufanya kazi kwa stress.
Mfano wa haki ni;

Right to movement.
Right to liberty.
Freedom of expression.
By

Onesmo Barnaba.
Mkereketwa
 
Upvote 1
Failed state. Wanao sema hivyo wenyewe huww wanatafuta wa kubadilishana nao?
Ni mtazamo pia umetoa broh sikupingi lakini wengi wanakwama na zaidi kama ni sekondari apate wa sekondari , msingi apate wa msingi mara nyingine akiwa wa masomo ya sayansi apate wa sayansi hivyo vyote vikwazo

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom