Uhamisho wa mwanafunzi kidato cha tatu kweda boarding school

GAMBAYI

Member
Joined
May 8, 2014
Posts
39
Reaction score
4
Ndugu wana JF.

Naombeni msaada wenu kwa ajili ya kumuhamisha ndugu yangu toka shule ya day kwenda boarding na sababu ya msingi ni matatizo ya kifamilia, amekosa msaada kwa ndugu zake wa damu kiasi ambacho kwa sasa hata salamu hawataki na inamuwia vigumu kuendelea na masomo yake katima mazingira hayo, kwa kuzingatia umuhimu wa elimu nimeamua kuchukua jukumu la kumsimamia lakini naomba msaada wa kuweza kupata shule ya boarding ili apate kutulia na kuweza soma kwa amani!

AHSANTENI SANA WADAU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…