Habar zenu,
Ndugu yangu kapangiwa aanze kidato cha kwanza shule flani ya kata, sasa mimi ninampango wa kumuhamisha na nimpeleke shule ya bweni.
Ni hatua gani nizifuate ili nimhamishe kabla ya kuanza masomo? Au baada ya mda gani ndipo nifanyemchakato huo?
Ahsante