njang'et JF-Expert Member Joined Dec 30, 2014 Posts 758 Reaction score 227 Jan 7, 2015 #1 Wakuu kwa yeyote mwenye taarifa za uhamisho tufahamishane.
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,877 Reaction score 5,022 Jan 7, 2015 #2 Huyo alyekuambia kuwa kuna uhamisho wa walimu ndie huyo mwenye majibu au kama umeckia tetesi basi endlea kuwa mvumilv.
Huyo alyekuambia kuwa kuna uhamisho wa walimu ndie huyo mwenye majibu au kama umeckia tetesi basi endlea kuwa mvumilv.
M mandazy Member Joined Feb 28, 2015 Posts 46 Reaction score 16 Apr 3, 2015 #3 Mwl ally halifa nipo magu mwanza kwa yeyote aliye tayar tubadilishane 0752246075
K kindondindo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 503 Reaction score 149 Apr 3, 2015 #4 kwenda wapi?
breki sifungi JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 694 Reaction score 409 Apr 3, 2015 #5 mwl. tulizo nipo kibondo kigoma, nataka kuja mbeya, njombe au iringa, kwa alie tayari piga namba: 0766683386/0787470737
mwl. tulizo nipo kibondo kigoma, nataka kuja mbeya, njombe au iringa, kwa alie tayari piga namba: 0766683386/0787470737
I issa ramadhani JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 1,319 Reaction score 260 Apr 3, 2015 #6 naitwa mwalimu SIFURI MBILI nafundisha mavinyanga sec geita nataka tubadilishane na mwalimu yoyote kutoka shinyanga au kagera au tarime,nipm tafadhari
naitwa mwalimu SIFURI MBILI nafundisha mavinyanga sec geita nataka tubadilishane na mwalimu yoyote kutoka shinyanga au kagera au tarime,nipm tafadhari