Uhamisho wa waalimu shule za msingi

njang'et

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2014
Posts
758
Reaction score
227
Wakuu kwa yeyote mwenye taarifa za uhamisho tufahamishane.
 
Huyo alyekuambia kuwa kuna uhamisho wa walimu ndie huyo mwenye majibu au kama umeckia tetesi basi endlea kuwa mvumilv.
 
Mwl ally halifa nipo magu mwanza kwa yeyote aliye tayar tubadilishane 0752246075
 
mwl. tulizo nipo kibondo kigoma, nataka kuja mbeya, njombe au iringa, kwa alie tayari piga namba: 0766683386/0787470737
 
naitwa mwalimu SIFURI MBILI nafundisha mavinyanga sec geita nataka tubadilishane na mwalimu yoyote kutoka shinyanga au kagera au tarime,nipm tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…