Uhamisho wa Watumishi Serikalini kuwafataa wenza wao

senkoP

Senior Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
176
Reaction score
189
Ni muda mrefu sasa tangu serikali itoe tangazo kwa watumishi wanaotaka kuhama kufata wenza wao lakini mpaka sasa kimya.

Labda kama kuna mwenye majibu kuhusiana na hili naomba atoe ufafanuzi kwani ndoa za watu zinaharibika migogoro inaongezeka kwenye familia. Sijui tatizo liko wapi mpaka sasa hawaja Hampsthwaite
 
Ni bora ya wenza kukaa mbali kuliko kukaa pamoja halafu hamlali chumba kimoja na nyumba migogoro haiishi kila siku.

Kwa research yangu hili la kukaa mbalimbali lina faida kuliko hasara kama mwanaume ukiachana na wivu wa kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…