uhamisho

shamali

Senior Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
186
Reaction score
56
naomba mwenye kufahamu uhamisho wa walim mwezi july vibali vinafika halmashauri lini jamani? kwa wenye uzoefu na hili
 
Asante sn jmn, kumbe watu wakarimu huku
 
naomba mwenye kufahamu uhamisho wa walim mwezi july vibali vinafika halmashauri lini jamani? kwa wenye uzoefu na hili

Uhamisho wa walim mwezi july, unapatikana kuleee... jukwaa la elimu.
Karib sana
 
Asante kwa ufafanuzi, mana kamba mguuni ndo imenfanya kuandikia humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…