Tofauti na fani za wahandisi ambao majengo na mitambo yao huwa wanatuonesha maelezo yaliyobaya/michoro yenye uhalisia wa ndani (interior design) ambazo hujibu kiu ya watumiaji kiuhalisia na kitaalam!
Janga la corona limekuja kuweka ombwe katika sekta ya afya kwa mabingwa wetu kuonekana bado wako nyuma kuliko tulivyoaminishwa!
Mwanzo nilipokuwa nikisikia kuwa watafiti bingwa wa afya wapo maabara kutafiti mambo mbalimbali.
Niliamini kuwa kwa ukubwa wa teknolojia kwenye fani ya udakitali kamwe haitakuja kuwa na mkanganyiko wa majibu katika jambo moja la afya.
Ilifika mahali nilidhania kwamba mabingwa wetu wa afya wamemaliza kila kitu kuhusu mwili wa binadam nikiamini kilichowashinda ni kutengeneza roho tu!
Ujio wa corona umekuja kuprove wrong kuhusu hili.
Nimegundua kwamba fani hii ya udakitali na chanjo duniani huenda iko nyuma (out of date) kwa zaidi ya miaka 20 nyuma!
Nasema hivi kwasababu kwenye suala la corona wamegeuka wapiga ramli, wamekuwa kama hawakuwemo maabara kama tulivyoaminishwa.
Kwenye ugonjwa huu wa corona umenifanya niwaze huenda hawa wapiganaji wa afya walituaminisha wapo mazoezini kumbe walivaa kombati za jeshi halafu wakabweteka kufuta buibui na usafi wa maabara badala ya kujikita kufanya utafiti.
Pia kuna wakati naamini huenda mifumo rasmi ya ajira imekumbatia watu wasiyo na uwezo kwa kuangalia vyeti vya taaluma za kubumba pekee, huku ikiwatupa inje ya mfumo watu wenye uwezo mkubwa ambao wamechukuliwa na waasi kiasi cha kutengeneza kirusi kimkakati wa kibiashara (kujiajiri au kulipwa na genge la waharifu)
Nasema hivyo kwasababu mabingwa wa afya wameonekana kufeli pakubwa kwa kujificha kwenye PHASE za corona kuzipa namba na majina tofauti
Hawako bayana katika maelezo yao! Wamejificha kwenye kivuli cha series za corona!
Nawafananisha na mtu ambaye anaelala kwenye nyumba yenye makorokoro mengi, akaingiliwa na nyoka! Kwasababu hana dhana na mafunzo ya kumuondoa basi kila siku atutangazie kuwa kaona nyoka mwingine wakati ni yuleyule mmoja anaetembea chumbani na kuongezeka ukubwa!