Uhandisi ndiyo fani pekee duniani inayotoa majibu halisi kwa walaji tofauti na udaktari ambao umeshindwa kuichambua chanjo ya COVID-19 ieleweke

Mkuu tatizo lililopo taaluma ya afya imeingiliwa zaidi na watu au makampuni yanayolenga maslahi binafsi kuliko ustawi au maendeleo ya taaluma yenyewe. You can't imagine makampuni ya madawa yanakimbizana kutengeneza chanjo yapate hati miliki ili yafanye biashara kutengeneza super profit bila kujali maadili na sheria zinazoongoza maswala ya kitafiti. Nafikiri kila mmoja aliona makampuni kutoka nchi tajiri duniani kama marekani, ujeruman, urusi, china, uingereza walivyokuwa yanahaha kuwahi kuja na suluhisho la chanjo, kwa hiyo hapo tayari utanusa ubeberu wa siasa za kimataifa. Huu ubinafsi umefikia hatua tafiti zinafanyika kwa siri bila takwimu za kitafiti kuwekwa wazi kwenye makongamano ya kimataifa na hata kwenye majarida ya kimataifa kama njia ya kuchangia maarifa na watafiti wengine duniani. Ukifuatilia ni kwa kiasi gani data za kitafiti kuhusu teknolojia ya mRNA ya kuzalisha chanjo zimekuwa shared kwa watafiti wengine duniani ili watoe maoni yao au na wenyewe waweze kufanya verification ni kituko, au teknolojia ya nano-particles/nano-molecules kufanya targeted delivery ya chanjo na madawa ndani ya mwili wa binadamu bado utakuta data kama hizo zinafichwa na makampuni kwa kisingizio cha hati miliki....
 
Sekta ya afya na mitaala yetu naona tunawaonea tu
 
Ooohh
 
Wahandisi wanafanya kazi kwenye vitu MFU madaktari wanafanya kazi kwenye vitu HAI.
 
Waambie wahandisi wakatengeneze chanjo.
Uliwahi kuwaza kupaa hewani na ndege? Ulishawahi waza magorofa marefu yanavyogharimu uhai? Wahandis kila mahali wamekuja na solution ya uhakika,
Sasa why madakitali wanakinzana kwenye chanjo kama wako makini?
 
"Ilifika mahali nilidhania kwamba mabingwa wetu wa afya wamemaliza kila kitu kuhusu mwili wa binadam nikiamini kilichowashinda ni kutengeneza roho tu!"

HAYA MANENO MACHACHE TU YANAONYESHA KIWANGO CHA UJINGA ULICHO NACHO NA UDUNI WA FIKRA ZAKO NI WA PH.D.
 
Ukiumwa uwe unaenda kwa wapiga ramli wenzako wakina Gwajima wakutibu
Me mbona nimegundua mda kwamba udaktari ni creaming tu, hamna cha ziada, na zaidi ya hayo gambling imetawala katika udaktari na utabibu
 
Crap BS
 
Nieleweshe we msomi mwenye PHD
 
Umetambaa sana.....

Ila...

Kwani hakuna muelewa na mfuatiliaji makini wa mambo ambaye hajawaelewa madaktari juu ya uchambuzi wa CHANJO HIZI.....

Labda tu hamtaki kuelewa.....

Chanjo hazijaanza KUTOLEWA Jana.....

Madawa hayajaanza kutolewa jana....

Siku zote hizo ulikuwa unauliza ufafanuzi juu ya kila huduma inayoihusu sekta ya afya?!!!

Madaktari wako wengi....WENGINE hutupasua (surgeons) ,WENGINE hututibu mifupa na kutuwekea mavyuma(orthopedic surgeon) ,WENGINE hutupasua mishipa ya fahamu na ubongo( Neurosurgeons)....yaani wote hawa wameshindwa KUKIDHI HAJA YA "WALAJI"?!!

Mmmh 😲😲🀣🀣

#TujitokezeKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#NchiKwanza
#SiempreJMT
#KaziInaendelea
 
Bro wewe kutoelewa kitu haipunguzi thamani au ubora wa kile ulichokielewa. Kwani COVID-19 vaccines wamezigundua engineers? Au unazungumzia engineers wa Tarura waliotengeneza daraja la milioni 31 kule Mahenge? Au wawazungumzia wahandisu hawa Daraja la Ileje kubomoka: Uhandisi Tanzania umeshuka Viwango?
 
Adam na eve ndio wanadamu wa kwanza.
Yule mtoto wao aliyemuua kaka yake alipata wapi mke wake wa kumzalia?
 
Ukiumwa uwe unaenda kwa wapiga ramli wenzako wakina Gwajima wakutibu
πŸ€“πŸ€“πŸ€“ nilimpeleka mke wangu hospital nikaona na pigwa ela tu Kwa ubashiri usio na majibu sahihi,
 
Wahandisi wanafanya kazi kwenye vitu MFU madaktari wanafanya kazi kwenye vitu HAI.
Hivi madaktari wanapofanya test mfano kwenye virus huwa wanaangalia behaviour ya mtu ama wanaangalia behaviour ya virus mwenyewe? Si unaweza kufanyia hata panya? Kwani hamfanyi simulation? Acheni kujitetea!
 
Kwa nini wafanyie kwa panya na sio kwa binadamu?
Hivi madaktari wanapofanya test mfano kwenye virus huwa wanaangalia behaviour ya mtu ama wanaangalia behaviour ya virus mwenyewe? Si unaweza kufanyia hata panya? Kwani hamfanyi simulation? Acheni kujitetea!
 
Sasa why madakitali wanakinzana kwenye chanjo kama wako makini
Mkuu mimi andhani mambo ya kidaktari yana shida hasa katika utaratibu wake wa kuja na majawabu.

Leo usione hii kada imeemndelea ukajua kwamba jambo lilikuwa la mwaka hapana.

Imepita miaka na miaka watu wanafanya tafiti wengine wanakuja wanaipinga wengine wanakuja wanasahihisha mpaka unapata kitu uhakika.
 
Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…