nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
ha ha ha...ni imani tu....heee aisee hayo ni maneno tuu ila navojua mm kitovu kikianguka mama tu awe aware kisidondoke barabaran🙂
Wandugu,
Napenda kufahamu kitaalamu juu ya imani au uvumi kuwa mtoto mchanga anapozaliwa lazima mzazi na hasa mama ahakikishe kuwa kitovu cha mtoto huyo kitakapokauka na kudondoka basi kisiguse sehemu nyeti za huyo mtoto. Inasemekana kuwa ikitokea kuwa kitovu hicho kimedondoka na kugusa sehemu hizo nyeti basi mtoto huyo kama ni wa kiume atakuwa bwabwa na kama ni wa kike nae atakuwa msagaji? (hatakuwa na feeling za kuhitaji mwanaume)..
Nahitaji maelezo ya kitaalamu na hasa kwenu nyie wataalamu wa tiba kuhusu hili kwani yanazungumzwa lakini hakuna justification ya kitaalamu inayotolewa zaidi ya kuonekana ni mapokeo ya imani tu.
I think this is popular belief fallacy.Anecdote!
Acha Mkwara. ...Hii TZ inashangaza kweli kweli! Inaoneka badala ya vijana au watu kusoma waje kuboresha maadili na mila zetu nzuri; wanakuja na mbadala wa kuua tamaduni na mila zetu nzuri; hii kitu hata ulaya ni hivihivi! Mnaposoma na kubahati kwenda nchi za wenzetu mjaribu kuuliza baadhi ya mambo; waliokaidi haya wakitaka proof za kisayansi ndo hao walibahatika kupata watoto MASHOGA.
Ukitaka kupruvu hili jaribu kwa mwanao! Uache kudanganya umma. Mila zipo na inafanya kazi. Ingia nchi za Ujerumani, Rusia na Australia kaulize haya utapata majibu.
Tatizo vijana wengi tukienda nchi za wenzetu tunaenda kushangaa mambo ya kiteknolojia tu.
Mila zipo katika miundo mikuu 2; kiimani na maadili (hizi ndo zinazo weza kupruviwa - mfano mwanamke mwenye mimba asile mayai ati atazaaa mtoto mwenye upara - hapa mila ilitaka mtoto asiwe mkubwa kabla kumzaa kwani enzi hizo hakukuwa na upasuaji; pia hata sasa hakuna mtu anatamani kujifungua kwa upasuaji).
Lakini zote zinazo anguka upande kinzani wa imani hazina pruvu ila zipo na zinafanya kazi; ukitaka yakukute jaribu kwa mwanao uone: cha kusikitisha utakuwa umemharibu hivyo unapaswa ushitakiwa japo hakuna ushahidi.
Au uliza wazazi wako walifanyaje? Usione wewe unafanya kazi vizuri kumbe ni jitihada za wazazi wako, halafu unaponda kitu hii.
Teh teh teh.Acha Mkwara. ...
Leta proof . kisayansi...
Angalia jinsi ulivyounganisha mlima meru na wakishumundu. Hua unatabia ya kukofyuzi mambo. Nakumbuka ulikua ukijiita ni Msukuma kumbe ni mnyamwez wa pale Tabora.Teh teh teh.
We mnywa mbege leo unataka ushahidi wa sayansi wakati baba zako na kaka zako mpk leo wanaenda kutambika Mount Meru na kuabudu mizimu!
Ama kweli mbege nuksi.
Kuna kabila lenye imani za ajabu ajabu km wachaga wa kigalatia?
Nyie mna miungu mpk ya pombe.
Nilipokuwa kule kishumundu ilikuwa kila siku matambiko na kupiga kabali Kondoo. Na kila kona kuna Matungule ya kutambikia.
Wachawi km balaa nyie.
Leo unataka ushahidi wa Sayansi?
Ovyo sana nyie watu.
Teh teh teh.Angalia jinsi ulivyounganisha mlima meru na wakishumundu. Hua unatabia ya kukofyuzi mambo. Nakumbuka ulikua ukijiita ni Msukuma kumbe ni mnyamwez wa pale Tabora.
Kwa taarifa yako kishumundu imetoa wachagga wasomi Tanzania nzima. Japo wmenyimwa barabara ya Lami. Kafanye tafiti wa kisayansi utafahamu...
Hafu unajiita X-paster we KWELI tambi zilizowekewa X.
Hakika Wala hapana UCHAWI juu ya wachagga wala hapana UGANGA juu ya kaskazini. - Hesabu 23:23
Luka 10:19.
Huku kila mahali kumejaa shule kuanzia primary mpaka vyuo. Huku ni wasomi tu wamejaa.
Ofcoz vigodoro hakuna huku lakini kabila gani halina pombe ya asili?
Hao wagalatia hua nawasoma kwenye baibo. Sijui kama wapo tena.
Vipi huko Ireland hiyo biashara yako ya kusambaza na kuuza sembe imefikia wapi?HUJAKAMATWA TU..KWELI we nouma! Unazuga una unauchungu wa kueneza dini kumbe unatumia kama kasha LA kufichia uovu wako.
Kweli ugaidi mbaya, yaani mpaka umeenda kuishi kwenye kambi zA wakimbizi ulaya unajaza choo na kuchafua hewa bure, huku wasyria wanahaha pa kuhifadhiwa! Ama kweli ule msemo wa bora kuzaliwa paka ulaya kuliko kua binadamu bongo umetimia kwako. Vipi ule.
mpango wako wa kuwahi NgONo na GOngO peponi umefikia wapi. Nakuona bado unashoia shoia tuu. Vipi dunia tamu zaidi nini?
Au uko kwenye queue wewe ni wa milioni moja na ushee hivi?
Hafu next time kama unataka kuharibu uzi peleka uchafu wako wenye forum ya dini kule. Lunatic!
Nielewe nini wakati maneno umetunga mwenyewe? Wewe ni mnyamwez mjinga zaidi kuliko wanyamwezi wote duniani...ndio maana ukiona mchagga kikofia unadhani kasadiki, kwa taarifa yako, tunakula nao kitimotoz sana. Nenda bomaNg'ombe ukaone maajabu ya musa!. Au sogea tengeru mpaka usa. Uone kitimoto inaliwa na nani. ujue huko wamekuja ku-hustle, na watarudi kundini soon.. Kwanza tangu huu utawala umeanza ni wengi wamerudi, nimeshuhudia. Jasiri haachi asili. Hiyo ndo siri nakupa.Teh teh teh.
Shangazi mipasho unaijaribu lkn Mchaga na taarabu ni km Mjaluo umwambie akupikie pilau. Ni balaa tupu. Hio pilau haitolika.
Nyie watu wa kishumundu asili hamna hio elimu mpate wapi?
Imani za kishirikina mpk kiunoni.
Ukute we hapo mkubwa mzima umevaa hirizi kiunoni. Na ingine kwapani. Eti unajilinda! Kambafff.
Leo mtu anasema Ukidondokewa na kitovu unakuww Khanith eti na Wewe Mchaga wa Kishumundu unataka Ushahidi WA KISAYANSI!
Hizo hirizi mnazo wavisha watoto wenu mlizitafuta kwenye Maabara?
Wanasema waungwana "Usitukane ukunga uzazi ungalipo"
Sijui hapo utakuwa umeelewa?
Manake wachaga (wagalatia) na Misamiati ni sawa na kumwambia Muha (mgalatia) akuandalie HALUA, ni vichekesho vitupu.
Shujaa my foot...Nielewe nini wakati maneno umetunga mwenyewe? Wewe ni mnyamwez mjinga zaidi kuliko wanyamwezi wote duniani...ndio maana ukiona mchagga kikofia unadhani kasadiki, kwa taarifa yako, tunakula nao kitimotoz sana. Nenda bomaNg'ombe ukaone maajabu ya musa!. Au sogea tengeru mpaka usa. Uone kitimoto inaliwa na nani. ujue huko wamekuja ku-hustle, na watarudi kundini soon.. Kwanza tangu huu utawala umeanza ni wengi wamerudi, nimeshuhudia. Jasiri haachi asili. Hiyo ndo siri nakupa.
Nimegundua mtu akikushinda kuongea, we mshinde kukaa kimya.
We endelea kuuza sembe... Mnywa mainzi we! Hivi kumbe cholera imekukosa kwakua uko kwa wazungu. Ungevaa nepi we gaidi.
Kwanza hakuna mkimbizi kutoka Tanzania. Walipaswa wakutie nguvuni ..
Huwezi kufanya utafiti katika mwili wa binadamu. Ndo maana hakuna atakayekubali kumtoa mwanae, kwa mantiki hiyo ni bora kuchukua kama mapokeoAcha Mkwara. ...
Leta proof . kisayansi...
Huyu mnywa Uharo 2013 asikupotezee muda.Huwezi kufanya utafiti katika mwili wa binadamu. Ndo maana hakuna atakayekubali kumtoa mwanae, kwa mantiki hiyo ni bora kuchukua kama mapokeo
Nikweli imani zipo lakini hazija thibitishwa na scientific researches. Nilitaka aje na hoja zA kitaalamu. Kuthibitisha claim. Na Sio afanye utafiti wa waathirika.Huwezi kufanya utafiti katika mwili wa binadamu. Ndo maana hakuna atakayekubali kumtoa mwanae, kwa mantiki hiyo ni bora kuchukua kama mapokeo
We njoo na picha zA watu wanapika Mkomboti sijui, lakini ujue nina ushahidi ambao ni documented, unaokulazimu uwe unakula mainzi.(flies) kama sehemu ya mlo. Na zile uji zA ngama na suna. Picha kitu gani, kila mtu anaweza ku-edit picha. Najua nikiuweka hapa utanipiga ban.Huyu mnywa Uharo 2013 asikupotezee muda.
Huyu ni mchaga wa kishumundu.
Niulize mimi habari zao.
Hakuna mtoto wa kishumundu hatta mmoja asie na hirizi kiunoni na kwapani.
Muulize hizo hirizi walipewa kwenye Maabara ya kisayansi?
Kila mwaka wanafanya matambiko na kunyonga mbuzi au kondoo makaburini. Hio ni Sayansi ?
Watizame hapa chini. Wachaga na makaburi ya mizimi uani kwao.
Halafu unajaribu kumuelekeza mtu anaenywea Kopo mpk leo 2016?
Na kupikia Kwenye Mapipa ?
Hawa viumbe meno meusi wasamehe bure .
Mchaga eti nae katoa msamiati!We njoo na picha zA watu wanapika Mkomboti sijui, lakini ujue nina ushahidi ambao ni documented, unaokulazimu uwe unakula mainzi.(flies) kama sehemu ya mlo. Na zile uji zA ngama na suna. Picha kitu gani, kila mtu anaweza ku-edit picha. Najua nikiuweka hapa utanipiga ban.
We endelea kupiga kichwa chini lakini as long as imekua documented hata uelimike vipi, kojo LA ngamia utakunywa na kulisifu. Hata uone utata vipi kwenye hizo documents, huna ujanja, Lazima unywe.Lazima ufuate.Lazima!! Utafanyaje sasa? No way...
Una macho huoni. Ama KWELI penye miti mingi hakuna wajenzi.
Huna kiswahili cha kunizidi. Namudu kukiandika na kukitamka vizuri sana. Kiswahili kwa mtanzania kama Mimi, si kitu cha kuhoji, sikosei herufi wala matamshi.Mchaga eti nae katoa msamiati!
Teh teh teh teh [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Sasa huo msamiati umeingiaje hapa.
Au basi tu na wewe uonekane unajua kiswahili.
Mbege kitu mbaya sana. Ndio maana mnaoza meno nyie.
Nakuuliza tena.
Zile hirizi mnazovaa viunoni mmepewa na Madaktari?
Washirikina sana nyie wala kitimoto.
Kazi kuabudu makaburi na mizimu.