Kenyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 414
- 314
Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema uharibifu uliotekelezwa na waandamanaji kwenye barabara maarufu ya 'Nairobi Expressway' utagharimu Serikali ya Kenya takriban milioni 700, sawa na bilioni 12 pesa za Tanzania.
Waziri Murkomen amesema haya baada ya kuzuru barabara hio kufanya tathmini kwa pamoja na wahandisi Wakuu raia wa China waliosimamia ujenzi wa barabara hio. Aidha ameongeza kuwa vituo vitatu vya reli viliharibiwa na waandamanaji siku ya Jana.
Kadhalika amethibitisha kukamatwa kwa watu zaidi ya 50 walionaswa na kamera za CCTV.