Ubila?Kuna Dalili Kenya kuja kuishia kama Sudani ni swala la mda Tu .
Kenya ubila mwingi na wanaoongoza kufanya vurugu ni wanachama wa Baba
Ubila?
Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema uharibifu uliotekelezwa na waandamanaji kwenye barabara maarufu ya 'Nairobi Expressway' utagharimu Serikali ya Kenya takriban milioni 700, sawa na trilioni 12 pesa za Tanzania.
Waziri Murkomen amesema haya baada ya kuzuru barabara hio kufanya tathmini kwa pamoja na wahandisi Wakuu raia wa China waliosimamia ujenzi wa barabara hio. Aidha ameongeza kuwa vituo vitatu vya reli viliharibiwa na waandamanaji siku ya Jana.
Kadhalika amethibitisha kukamatwa kwa watu zaidi ya 50 walionaswa na kamera za CCTV.
milioni 700 kshs ni sawa na trioni 12 za kibongo?!!Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema uharibifu uliotekelezwa na waandamanaji kwenye barabara maarufu ya 'Nairobi Expressway' utagharimu Serikali ya Kenya takriban milioni 700, sawa na trilioni 12 pesa za Tanzania.

UkabilaUbila?