Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Ingekua ni mtu wa yanga ndio kawaita mbumbumbu ningesema kawaonea ila kwa kua ni kiongozi wao mkubwa basi naamini kweli watu wa simba ni mambumbumbu




Nafikiri tulipaswa kulitazama tukio la vurugu zilizotokea jana kwa jicho huru,tukilitazama tukio lile kwa jicho la kishabiki tutaishia kuwashushia lawama mashabiki wa Simba na kuwaacha waamuzi waliopekekea mashabiki kufanya vitendo vile.

Hii ndiyo Tanzania,ni Tanzania pekee ambako abiria anaweza kulaumiwa kwa nini alipanda basi lililoenda kusababisha ajali,badala ya kumlaumu dereva aliyesababisha ajali yenyewe,nafikiri tunapaswa kupimwa mienendo ya ubongo wetu,huenda ubongo wetu unafikiri "antcklockwise".
 


Nasikia hamto chezea tena Uwanja wa Taifa mpaka Klabu yenu ikarabati viti vilivyo haribika.........!
Naskia timu yenu ni ya netiboli, mnafunga hadi magoli ya mikono...
 
simba imeonewa, ingefaa hiyo M5 alipishwe huyo refa aliye sababisha mashabiki wangoe viti
two wrongs do not make a right though half and half makes one,
vile viti ni vyetu sote hata ukionewa huwezi kuvunja viti
 
mkuu nimependa maneno yako
 
Huu upuuzi umefanywa wahuni waliokuwa na malezi ya kifamilia.
 

Refarii ni binadamu sio machine kama ni kweli ni mshabiki wa soka hayo mambo yanayokea kwenye soka kila mara lakini mashabiki hawavunji viti huu ni ujinga haufai kutetewa kabisa.Kuna mechi ya Yanga alichemsha wachezaji wa Yanga walimpiga yule refa lakini mashabiki hawakuvunja viti wala kufanya fujo yeyote.Hii sio mara ya kwanza mashabiki wa Simba wanaharibu viti uwanja wa Taifa
 
israel nkongo anaitwa yule refa mechi ya azzam
 
HAWA MATAKO FC WAPEWE ADHABU KWAKWELI....MECHI TANO WAKAZEZEE KARUME PALE....PUMBAVU SANA
 
Kuvunja viti uwanjani hakuwezi kuondoa matatizo ya waamuzi wetu
 
Makosa ya simba yametugharimu TUMEFUNGIWA WOTE KUTUMIA UWANJA
 
Unajua pale ndio uwezo wa Tambwe ulipoishia,

Kiwango chake kiko chini sana.
UWEZO WA TAMBWE:

Mfungaji bora wa LigiKuu Tanzania Bara mara 2.

Anaifunga Simba SC kila wakati anao kutana nao.

Anafunga Mabao adimu zaidi ulimwenguni.
Bao la MKONO WA MUNGU.
(Hii aliweza Maradona pekee)

Kabeba ubingwa mara nyingi kuliko mchezaji wowote yule wa Simba SC hivi sasa.

Jamaa ni starter asiye na mbadala wa kulinganishwa naye BURUNDI NATIONAL TEAM.

Mengine Muulize mkeo huenda akawa anayajua machane ambayo sijayaandika.
 
Huyu nae vipi!?Kwani viti vimekua roho vikitoka havirudi! Tutalipa ila sms imefika next time ujinga kama huu tunaondoka na magoli

Nimecheka sana, kwa kuwa unanishangaza.

Kwa mara ya kwanza kuharibu viti sms haikufika? au hukupata deliverance SMS?

Uhuni hii sasa umefanywa mrudishwe shamba la Bibi mkaendelee kuchubuka mapaja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…