Uhasama kati ya Martin Masese na Maria Sarungi chanzo ni nini?

DexterLab

Senior Member
Joined
Oct 17, 2024
Posts
161
Reaction score
193
Kwa wale wanaofatilia mtandao wa š• zamani Twitter hiyo battle hapo juu mtakuwa mnaikumbuka. Battle ni ya muda kidogo najua Hilo.

Nilikuwa nataka kujua chanzo ni nini? Nani aliyemuanza mwenzie kati ya Martin Maranja Masese na Sarungi? Watapatana kweli kwa maslahi ya taifa? Wakuwapatanisha ni Nani?
 
Maria Sarungi ni puppet, na analipwa na Ford foundation ku destabilize any existing functional political system..

Huwezi shindana battle na puppet hata siku moja...

Yupo kazini
 
Kwa wale wanaofatilia mtandao wa š• zamani Twitter hiyo battle hapo juu mtakuwa mnaikumbuka. Battle ni ya muda kidogo najua Hilo.

Nilikuwa nataka kujua chanzo ni nini? Nani aliyemuanza mwenzie kati ya Martin Maranja Masese na Sarungi? Watapatana kweli kwa maslahi ya taifa? Wakuwapatanisha ni Nani?
Maria Sarungi mtu mzuri kwa upande mwingine ,ila yupo na unafiki ndani yake , naweza kusema anaweza kua chanzo cha mambo tunayaona chadema ,yeye ndo alieanzisha kuonekana egemea upande mmoja kwa lissu , then na upande mwingine hisia zikatawala na malumbano ya kijinga yakaaanza .

Binafsi nimetokea mchukia ,watu wazima wanafanya mambo ya kitoto
 
Huu ni uongo umeandika. Kinachoendelea CHADEMA, ni matokeo ya Mbowe kukaa kwa muda mrefu kwenye madaraka na bado anataka kuendelea wakati ufanisi hakuna.
 
Why Mbowe, na sio wenyeviti wa vyama vingine, ya chadema wakati mwingine tuwachie wao, kama kuendesha chama ni jambo jepesi wakina Maria Sarungi na wenzake si waanzishe chama tuone kitakua na uimara gani ili vyama vingine viweze kujifunza kwao, kuliko kuchochea Migogoro ya kijinga katika vyama vilivyopo kisa mahaba ya mtu na kuegemea upande mmoja .Maria namlaum sana kwa hili japo najua chadema watavuka salama tu.
 
Huu ni uongo umeandika. Kinachoendelea CHADEMA, ni matokeo ya Mbowe kukaa kwa muda mrefu kwenye madaraka na bado anataka kuendelea wakati ufanisi hakuna.
Mbowe anachaguliwa kuwa mwenyekiti mara zote ajiamulii tu kuwa mwenyekiti
Tundu lisu amechukua fomu na karudisha pasipokufanyiwa mauzauza yeyote yale na tundu lisu ni watu aliyeshiriki kuondoa ukomo wa madaraka chadema
 
Ulitaka ufanisi gani?.Usifikiri kufanya siasa zaupinzani afrika nirahisi kama kulaumu uku mitandaoni.Waliokua wanamchagua wanajua kwanini walikua wanamchagua.Sasa labda wewe utuambie ulitaka afanyeje ndo ujue kuna ufanisi?
 
Kuna mambo ukiyafikiria vizuri utagundua sisi wapambe ndio tunaoharibu.utakuta wahusika wako wanapiga mvinyo uko huku sisi uku nje tunaparurana.Hakuna kilichofanyika au ambacho kitafanyika chadema mbowe na lissu hawakijui au hawahusiki.Ila sisi uku nje tunatazama kwajicho la mahasimu kitu ambacho sio sawa na tunaweza kuumbuka.
 
Ulitaka ufanisi gani?.Usifikiri kufanya siasa zaupinzani afrika nirahisi kama kulaumu uku mitandaoni.Waliokua wanamchagua wanajua kwanini walikua wanamchagua.Sasa labda wewe utuambie ulitaka afanyeje ndo ujue kuna ufanisi?
Ccm fomu ya urais imekua ni vita, fomu ya mwenyekiti ccm ni moja tu, chadema wamejitahidi sana ni basi tu watu hawana-shukrani
 
Back
Top Bottom