Uhasibu na kuweka vitabu vyako vizuri kwa ajili ya kulipa kodi

Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
494
Reaction score
522
Wanajamvi natoa huduma za ushauri wa biashara na kuweka mfumo mzuri wa rekodi ya biashara yako na vile vile nategeneza mizania za biashara ( Financial Statements), umuhimu wake ni kuwa biashara yako inakuwa imekaa vyema katika maswala ya wewe kupata mikopo na vilevile kutozwa kodi stahili na hivyo kufanya biashara yako ikuwe na iheshimiwe kwa kulipa kodi halali.
Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…