Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
mapenzi hayana formula RF....kuna watu wana mivuto na wanaume/wanawake zao wanatoka nje vibaya.....kuna kuchokana,tamaa,nguvu za giza,company,kuoa/kuolewa kwa kulazimisha au kwa sababu nyingine na si upendo kama hela,elimu,umaarufu etc.......nafikiri inabidi kuwepo tu na umakini,busara,utulivu na juu ya yote msaada wa Mungu katika kuchagua wenzi na maisha ya ndoa kwa ujumla wake!!!!!!!!!!
Haya mambo bwana,
Mi nasema tu kama Mungu yupo na kama kweli tunavyoamini ndiye anayetupatia mume/mke mwema basi na atuhurumie tu, atukutanishe na wale watu ambao nafsi zetu zinaendana nao!!
Vinginevyo haya mambo sio marahisi kabisa!!
Mapenzi hayaonjwi.
Tunakosea sana.
Ndio maana tukaamrishwa tusiingie kwenye mahusiano kabla ya ndoa, na tuingiapo kwenye ndoa tusijihusishe kwenye mahusiano nje ya ndoa. Hii inazuia mtu kujua kwamba mwenza wake ana vigezo au hana, kwa sababu unakuwa huna comparison. Hii ina rule out maswala ya kusema mtu ana vigezo au hana. Tuzingatie maandiko kujiepusha na majaribu kama haya.
waweza fafanua zaidi bibie
gaaaal,,,nakukubalimapenzi hayana formula RF....kuna watu wana mivuto na wanaume/wanawake zao wanatoka nje vibaya.....kuna kuchokana,tamaa,nguvu za giza,company,kuoa/kuolewa kwa kulazimisha au kwa sababu nyingine na si upendo kama hela,elimu,umaarufu etc.......nafikiri inabidi kuwepo tu na umakini,busara,utulivu na juu ya yote msaada wa Mungu katika kuchagua wenzi na maisha ya ndoa kwa ujumla wake!!!!!!!!!!
Ile infi yako kwa hiyo bado uko nayo?Hawara hawaachani hata miaka 50
Ni hapa au huko sirini?nitakufafanulia usihofu.